Plot for sale at Sakina, Arusha


Nyumba hii ipo Katika Mtaa wa Moroviana, Karibu na kanisa la Morovian lililopo Sakina Arusha. Ipo Mita 400 kutoka Barabara kuu, Nyumba ilijengwa kwenye kiwanja cha 576 Square Meters na hati miliki yenye umri wa miaka 66. Ina Kisima chenye Kububujisha maji wakati wote. Ina nafasi ya kutosha ya kuegesha Magari sita (6).
Ina Vyumba 8 (6 ni Self Contain na 2 Singles Room)
- Sitting Room 2 (Chini na juu)
- Ofisi (Ghorofani)
- Dinning
- Kitchen
- Store ya Nje
- Jiko la Nje Bei: 300m
- Matanki ya Maji (9000Ltr) dalali dula Arusha_co
ll_255788075525