Plot for sale at Sanjaranda, Singida


Sanjaranda, Manyoni, Singida
27 days ago
Sh. 400,000
NAUZA SHAMBA π±
π Shamba lipo Sanjaranda, karibu na Manyoni
π Eneo linafaa sana kwa kilimo cha vitunguu na mazao mengine
π Ukubwa ni hekari 20
π° Bei: Laki 4 kwa hekari (jumla hekari 20 = milioni 8, maongezi yapo)
π Mawasiliano: 0658 128 485
#ShambaSingida #ShambaManyoni #KilimoBiashara #UwekezajiKilimo #dalalisingida #singida #dalalimanyoni #dalaliitigi #manyoni #itigi