Plot for sale at Sinza, Dar Es Salaam


*GHOROFA ZURI SANA (HOTEL) LINAUZWA KWA NIABA YA BANK* 
LIPO SINZA DAR
Umiliki: Title deed ( hati kutoka wizarani) plot no; 429,  block 'D'
*SIFA*: 
  Ground floor kuna vyumba 10 vyote ni self contained na air conditioner.
Pia kuna mapokezi, store,  lounge, choo cha nje.
Floor 1, 2 na 3 
  Kuna vyumba 14 kila floor  vyote ni masters na full air conditioner.
Floor 4:
 Kuna vyumba 10 vyote ni masters pia ni full conditioner.
Inafaa kwa matumizi ya biashara kama Hotel, au apartments.
Ukubwa wa eneo: sqm 288
*Price: 1.5 bilion*
Barabara inafikika mpaka kwenye ghorofa.
Service charge Ni Tshs 50,000/=
Tupigie +255758844717




















