Plot for sale at Sinza, Dar Es Salaam


Nyumba inauzwa
Location:- Sinza
Price:- Tsh Million 170 maongezi yapo
Plot size:-SQMT 300
Document:- Ina hati kutoka wizarani
Muundo wa Nyumba:-
1.Ina vyumba vyumba vinne
2.Chumba kimoja ni master
3.Ina mpangaji analipa Kodi 700K (Laki saba)
Kwa maelezo zaidi piga simu
Angalizo:- Gharama za kupelekwa kuona Nyumba ni 50K (Tsh elfu 50)
Commission ya Dalali 10%