Plot for sale at Stesheni, Kilimanjaro


*KIWANJA CHA KWANZA LAMI IRINGA ROAD MIETER 400 KUTOKA STESHENI YA SGR DODOMA*
Kiwanja kinatazama Barabara kuu ya lami iendayo Iringa.
Kipo umbali wa meter 400 kabla hujafika lango kuu la kuingia na kutoka Abiria STESHEN ya SGR.
- Ukubwa: SQM 1200
- Documents Hati
💴 *BEI MILIONI 140
> Kinafaa kwa ujenzi wa Lodge, Apartments, kiwanda cha tofali na hata makazi.
☎️ 0787-037986
☎️ 0655-037986
KARIBU TUKUHUDUMIE