Plot for sale at Stesheni, Lindi


*KIWANJA KIKUBWA KINAUZWA JIRANI SANA NA STESHENI KUU YA SGR KIKUYU DODOMA MJINI*
Kiwanja kipo umbali mdogo sana na Steshen ya kuu ya Train ya umeme SGR Kikuyu Extension.
- Ukubwa SQM 1997
- Documents HATI
- 📍 *BEI TSH MILLION 75*
- Jengo la njano unaliona kwenye video ni Ofisi za utawala za SGR, na pembeni ni Jengo la Abiria ambalo halionekani hapo.
*KARIBU TUKUHUDUMIE*
0672312302