Plot for sale at Tabata, Dar Es Salaam


INAUZWA BEI MILIONI 85 MAONGEZI YAPO USIJALI FIKA SITE 👈
IPO TABATA KINYEREZI
YENYE SIFA HIZO👇👇👇
VYUMBA VITATU KULALA KIMOJAWAPO MASTER,SEBLE,JIKO,DINNING,STORE NA CHOO CHA FAMILIA NDANI YA FENSI
PIA KUNA BOY COTTER
UKUBWA WA KIWANJA SQM 1000
NYUMBA HAIKO MBALI NA LAMI
HATI SERIKALI YA MTAA
KIWANJA MITA 40×20==SQM 800
BEI MLIONI 85 MAONGEZI KIDOGO
KUONYESHWA NYUMBA 30,000/=
0679062127