Plot for sale at Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba hii inauzwa ipo tabata changombe
Bei Mill 200 maongezi
Eneo sqmita 600 documents hati miliki
Hicho kigorofa kina chumba cha kulala juu
Chini kuna sebule jiko na dinning
Nyumba kubwa pembeni ina room 3 kimoja masta sebule jiko dinning
Hiyo nyumba kubwa ina mpangaji analipa laki 5 kwa mwezi...
Karibu ukague tufanye biashara
Nipigie 0699805150