Plot for sale at Tabata, Dar Es Salaam


UNDER GROUND JUU NA CHINI)
INAUZWA MILIONI 90 (TABATA KINYEREZI)
PUNGUZO š„ PUNGUZO š„HII NI OFA KUBWA NDUGU MTEJA INAUZWA NYUMBA HII MILIONI 90 (90,000,000/= )
NYUMBA NZURI KUBWA YA(UNDER GROUND )FAMILIA INAUZWA NI NYUMBA YA KUHAMIA TUU NA IPO SEHEMU NZURI SANA BEI MSELELEKO KABISA (90,000,000/= TSH) MILLION 90 NA GARI LINAFIKA HADI MLANGONI
š„ NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#MAJI DAWASA YAPO YA KUTOSHA
#PARKING
#IPO NDANI YA FENSI
#NYUMBA YA KUHAMIA TUU NA KUONGEZEA UREMBO WAKO BINAFSI
PIA KUNA CHUMBA MASTER NA SEBULE NA JIKO CHINI NYUMBA HII KUBWA SANA TENA SANA
BEI NI 90,000,000/= TSH
UKUBWA WA ENEO NI 20/15 METERS
DOCUMENTS:- HATI SAFI YA MAUZIANO HALALI KUTOKA SERIKALI YA MTAA
š¹šæ NYUMBA HII IPO TABATA KINYEREZI MWISHO...
KUTOKA ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 3 UPO KWENYE NYUMBA
š„ KUONESHWA NYUMBA HII GHARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 30
NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
C
0782636396 0655436396 0767636395