Plot for sale at Tabata, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI SANA UNDERGROUND INAUZWA TABATA KINYEREZ
Ina Vyumba Vitatu Kimoja Master, Dinning, Sitting, Kitchen&Public Toilet
Pia Chini Kuna Chumba Kimoja Master, Sitting&kitchen
Umiliki: Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa (Sales Agreement)
Ukubwa Wa Eneo: SQM 300
Umbali: 1.5 Kilometres Kutoka Kinyerez Mwisho
Maji Ya Dawasco Na Umeme Vyote Vipo
Nyumba Nzuri Iko Mtaa Mzuri/ Full Fanced
Bei : 90 Million
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=