Plot for sale at Tabata, Dar Es Salaam


*PLOT FOR SALE IN TABATA SANENE
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃
--- Eneo linauzwa Tabata sanene
--- Kiwanja kipo eneo nzuri Kwa ujenzi wa Makazi ya kudumu. Apartment
--- Kwenye kiwanja Kuna frem 8 .Maji yapo na umeme upo.
--- Kiwanja kina ukubwa wa 2,000 sqm.
--- Kiwanja kimepimwa na kurasimishwa na Halmashauri ya Ilala kuwa Makazi ya kudumu.
--- Kiwanja kina Hati Miliki(Valid Title Deed)
--- Asking price: Tsh ml 270. /=
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃
Contact us:
0622474799 AU 0715 423 267.0755 454 251