Plot for sale at Tabata, Dar Es Salaam


Kiwanja kinauzwašKipo Tabata Mawenzi
Distance Kutoka lami ni mita 50 tu
-Kiwanja kina nyumba ndani ambayo unaweza kuvunja na kujenga Gorofa ya kuishi, Apartment, Lodge Nk
-Plot size square meter 1200
-Document: Clean TITTLE DEED (Hati Miliki ya Wizara ardhi)
Matumizi Makazi
Bei shilingi milioni 140 maongezi yapo
š0658304822
NAMBA MOJA REAL ESTATE DEVELOPERS