Plot for sale at Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba nzuri ya kisasa Inauzwa
BEI.MILLION 45maongezi kidogo yapo
📍 TABATA KINYEREZI/KIBAGA "B"
Dar es salaam - Tanzania
▫Vyumba Vitatu(3) vya Kulala
◇kimoja ni Master Bedroom
▫Sitting room kubwa
▫No Dining room
◇ Kitchen
▫inside Public toilet
PLOT SIZE UNAPARK MAGARI MADOGO 3 TU
◇document clean ya hatua za awali za ULASIMISHAJI ipo hatua za kupata TITLE DEED ( Hati miliki kutoka wizara ya aridhi)
◇maji safi dawasco umeme vyote vipo
◇Nyumba haipo haipo BONDENI
PLOT SIZE.
20 KWA 17=340 SQM
Mawasiliano Zaidi.
0746 433 854