Plot for sale at Toangoma, Dar Es Salaam





KIWANJA CHENYE HATI, SQM.1,091, TSHS.37 MILIONI, TOANGOMA 'STANLEY', KIGAMBONI.
Eneo ni Block 2.
Kipo umbali wa Mita 500 tu kutoka Barabara ya Lami.
Kiko tambarare na eneo limejengeka vìzuri.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
____________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.