Plot for sale at Ubungo, Dar Es Salaam
Kiwanja cha sqm 850 kinauzwa Ubungo kibo.
Umbali wa mita 100 kutoka Morogoro road
Kina leseni ya makazi kutoka Manispaa ya Ubungo
Bei ni milioni 400 na mazungumzo yapo
Karibuni sana..
#apartments #apartments #ubungo