Plot for sale at Vikindu, Pwani
Nyumba inauzwa ipo vikindu mkoa wa pwani wiraya ya mkuranga nyumba ya vyumba 3 vya kulala stingiroom dainingi toiliti public ketcheni master nyumba umeme upo maji yapo nyumba mpya nyumba bei Ina Hati yake ya serekali ya mtaa ukubwa wa kiwanja sqm 400 nyumba aipo mbali na Barbara ya rami km dk chache nyumba bei ml 59