Plot for sale at Vingunguti, Dar Es Salaam


Eneo linauzwa eneo lipo vingunguti machinjioni dar manispaa ya ilala
Eneo linaukubwa wa sqm 40000
Eneo elfu 40 sawa na heka 10
Bei dollar mil 10
Kumiliki tittlee dedee
Karibu muekezaji fasta
Hii biashala imenyooka haina konakona
Eneo lote lipo ndani ya fensi safi ya ukuta
Kukaguwa mda wowote hakuna masharti
Karibu sana mteja
Piga simu:: 0672 673363










