Plot for sale at Wazo, Dar Es Salaam


Kiwanja kizuri sana kinauzwa:
Mtaa wa kibabe sana km unavyoona
Ukubwa-sqm 1300
Kimepimwa bado Hati
Bei-ml 70 maongezi
Location- Wazo kontena
Umbali-km 1 kutoka main road wazo bwawani
__
#0714335450
#0714335450