Plot for sale in Kimara, Dar Es Salaam







Eneo kubwa linauzwa na zuri kimara suka.Mita 800 kutoka morogoro road.Eneo hili linafaa kwa kuishi,biashara na mambo mengine.Eneo limekaa sehemu nzuri na mtaa wa kishua,pia tambarale.Barabara ni nzuri .Eneo lina ukubwa wa square mita 600.Bei mil 90 na mazungumzo yapo.kwenda kuona eneo service charge 30,000/=.
CONTACT ME:: 0672 673363 / 0763 219307




















