Plot for sale in Mjini, Ruvuma


kiwanja hiki kipo makunganya kabla ya kufika kwenye sheli ya engine,
kimepimwa na kina hati miliki,
ukubwa sqm 800
umeme upo,
pamejengeka sana kisasa
umbali kutoka lami ni MITA 100 tu,
bei million 12,
#0652644084 0652644084
0767932265
au fika ofisini kwetu Masika Morogoro mjini



















