Plots for sale at Bagamoyo, Mbeya


Jamanii mabosi zangu mashamaba yamebaki machache sana yani yanapepe kama kimbunga Hidaya🔥🤣
Safari ya Mashambani imebakia moja tu j/mosi hii ya tarehe 11/05/2024 ndio safari ya mwisho
Koo tujitahidi mabosi zangu weka booking ya safari mapema ili uweze kwenda kuona mashamba
Nnaahakika mtayapenda na mtanishukuru baada ya kuyanunuKwa sababu sisi hatuna dogo yani🔥🔥🔥
Mradi upo Bagamoyo kiwangwa ni Tsh.1.5M tu
-Lipia kidogo kidogo kila mwezi 100,000 tu
-Au lipia cash upate na punguzo la 10%
- Mradi uko na huduma zote za kijamii
-Upo karibu na makazi ya watu ni mwendo wa 5dk tu
Maelezo zaidi piga simu
☎️ 0699543621 Au fika offisini kwetu "Mwananyamala "A" "
Tunasemaje hapo ushindwe wewe tu!