Plots for sale at Bagamoyo, Mbeya


Mradi wa Viwanja Bagamoyo Makurunge.
📌Umeshapimwa na uneshakuwa approved na wizara.
📌Sqm 1 ni Tsh 6,000
Mita 800 kutoka lami.
Karibu kabisa na makazi ya watu.
Umeme na maji vipo site.
Huduma zote muhimu zinapatikana kwa karibu kabisa.
Mfano kiwanja cha sqm 1000 utakipata kwa Tsh Milioni 6 na hii unaweza kuilipa Cash au Kidogo kidogo ndani ya miezi minne (4).
Call/Whatsapp
0694 398 086