Plots for sale at Bagamoyo, Mbeya


Bagamoyo tunayo, na tuna tamba nayo mabosi zangu😊😇
Miradi ya unafuu ya Viwanja pamoja na mashamba kwa bagamoyo ni chini ya kiasi cha Tsh.1,600,000 ya kitanzania
Yani unanunua na kupata hati yako🔥🔥
Bagamoyo makurunge Sqm 1 ni Tsh.4,000
-Bei ya kiwanja cha sqm 400 (20*20) ni Tsh.1,600,000 tu
-Malipo ya mwezi ni Tsh.107,000 tu kila mwezi utalipia kwa muda wa miezi 15
-Malipo ya cash unapata punguzo la Asilimia kumi (10%)
Mashambani ni Tsh.1,500,000 tu kwa Ekari moja (1)
-Malipo ya mwezi ni Tsh.100,000 kila mwezi kwa muda wa miezi 15
-ukilipia cash unapata punguzo la Asilimia kumi (10%)
Tupigie No.☎️0 699 543 621
Ofisi zetu zinapatikana Mwananyamala