Plots for sale at Bagamoyo, Mbeya


📌 VIWANJA VIWANJA VIWANJA 🔥🔥
Jamboland Realty Co Ltd tunakuletea viwanja vizuri vilivyopimwa kwa bei nafuu kabisa,
MIRADI YETU
🎈 BAGAMOYO KIROMO
.......................................................................................................................
🌓 Viwanja vipo Bagamoyo Kiromo, umbali wa mita 900 kutoka lami.
🌓 Viwanja vimepimwa na pia site kuna huduma zote za msingi za kijamii na maendeleo kama vile maji, umeme na barabara.
🌓 Viwanja vipo sehemu nzuri na eneo lipo sehemu ya tambarare na site kunajengeka kwa kasi sana.
🌓 Viwanja vinapatika kwa bei ya Tsh 13,000 kwa SQM kwa malipo ya jumla na Tsh 15,000 kwa SQM kwa malipo ya awamu.
🌓 Kwenye malipo utalipa 30% ya malipo yote na kiasi kinachobakia unalipa kidogokidogo kwa muda wa miezi kumi na mbili (12).
🌓Wasiliana nasi sasa ili tuweze kukupeleka site ukajichagulie kiwanja chako mapema sana.
🎈MLANDIZI CHEKERENI
........................................................................................................................
🌓 Viwanja vipo Bagamoyo Kiromo, umbali wa km 9 kutoka lami.
🌓 Viwanja vimepimwa na pia site kuna huduma zote za msingi za kijamii na maendeleo kama vile maji, umeme na barabara.
🌓 Viwanja vipo sehemu nzuri, lipo karibu na kituo cha Afya cha St. Michael
🌓 Viwanja vinapatika kwa bei ya Tsh 5,000 kwa SQM kwa malipo ya jumla na Tsh 8,000 kwa SQM kwa malipo ya awamu.
🌓 Kwenye malipo utalipa 30% ya malipo yote na kiasi kinachobakia unalipa kidogokidogo kwa muda wa miezi kumi na mbili (12).
🌓 Wasiliana nasi sasa ili tuweze kukupeleka site ukajichagulie kiwanja chako mapema sana.
🎈MIRADI YETU MINGINE
................................................................................................................................
🕒 Bagamoyo Mataya
🕒 Kibaha Pangani
🕒 Kiluvya Makurunge