Plots for sale at Bagamoyo, Mbeya


OFA MWISHO WA MWAKA..... Tanguliza 1.5M kwa kiwanja kimoja Bei ya jumla ni 3.5M na kiwango kinachobaki malizia ndani ya muda Rafiki Cash ni Tsh 3M kwa kiwanja kimoja.
Viwanja Vipo BAGAMOYO KIROMO Mtaa wa MATAYA
Viwanja Vimepimwa
Mradi wetu upo KM 4 kutoka Bagamoyo Road
Eneo limepakana na Shule ya Sekondary Genius king
Bei ya kiwanja kimoja ni 3.5M kwa installment haijalishi ukubwa
Bei ya Cash ni Tsh 3M
Viwanja vyote bei ni Moja haijalishi ukubwa, ujanja kuwahi Ukillipia 1.5M Cash unaweza kuendelea kuendeleza eneo lako huku ukiendelea na Marejesho Umeme, maji vipo Site
Gharama ya kwenda site utachangia 20,000/- ya mafuta ila gari la ofisi lipo
Siku za kwenda site ni yoyote tupigie siku Moja kabla
Siku Rasmi ni Jumamosi
Tupigie 0783145142 ili utumiwe Ramani uwahi kiwanja kikubwa au corner plots
Call/whatsapp 0783145142
Call 0783145142