Plots for sale at Bagamoyo, Mbeya
MRADI MPYA WA VIWANJA VILIVYOPIMWA SANZALE BAGAMOYO
Location
SANZALE-Njia panda ya mlandizi
Bei
Cash - Milion 5,000,000
Mkopo- Milion 1,500,000utalipa asilimia 30%mwazo
Itabaki -Milion 3,500,000 utalipa ndani ya miezi 14 utalipa 250,000 kila mwezi
Tunanzia kupima SQM 500,600,800,
▫️HATI- Unapata bure kutoka wizara ya ardhi
SIFA ZA MRADI
1. Huduma zote za kijamii zipo karibu na mradi
2.Upo katikati ya mitaa watu weshajenga
3.Full documents (Title deed)
4.kutoka barabara kuu mita 800
🎈Tunapatika sinza makaburini barabara ya igesa road
☎️0627004775
#maryrealestate#viwanjasanzale#viwanjamakurunge
#Viwanjamadale#mashambatalawanda#bagamoyo