Plots for sale at Buswelu, Mwanza


VIWANJA VINAUZWA BUSWELU - ISANZU
-vipo jirani na Hospitali ya wilaya ya llemela, jijini Mwanza.
-Vipo 1km kutoka geti la hospitali na barabara ya lami inaendelea kujengwa itakayotoka Buswelu (ofisi za halmashauri ya manispaa ya llemela) mpaka hospitalini
-kilometa 8 kutoka buswelu center
-ruksa kununua kiwanja kimoja au zaidi
-Viwanja vyote Vimepimwa na vina bicons
-Bei ni Tshs. 2,000,000/= kwa kila kiwanja
📲 0743 220097