Plots for sale at Buswelu, Mwanza


JUMLA YA VIWANJA 17 VINAUZWA BUSWELU - KAHAMA
-viwanja vimetazama barabara ya lami
-ukubwa wa viwanja ni SQM 600+, 800+, 900+ na 1000+
-viwanja vyote vimepimwa tayari
-bei ni Tsh 15,000 kwa square mita moja
-ruksa kununua kiwanja kimoja au zaidi
MFANO 👇👇👇
SQM 627 x 15,000 = Tsh 9,405,000
📲 0743 220097