Plots for sale at Buyuni, Dar Es Salaam


* *NEW PROJECT*
๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
๐ถ *Lipa kidogo kidogo, miliki kiwanja Buyuni!* ๐ถ
Tunaendelea kukupa fursa ya kumiliki viwanja vya makazi Buyuni kwa malipo nafuu ya TSh 300,000/= tu kila mwezi ndani ya miezi 20.
*BUYUNI 20*
โช๏ธKm 49 kutoka Ferry Mwendo wa dakika 45 tu kutoka ferry.
โช๏ธKm 3.5 tu kutoka Main road.
โช๏ธ Eneo ni tambarare limezungukwa na makazi ya watu
โชSqm1@ 11,000Tsh cash
โชSqm1@12,000Tsh installment ya miezi 20
*Anza na 300,000/ Tu*..kwa kiwanja cha Sqm 500 bei nzima ya kiwanja ni sh. *6,000,000/=*
Lipa *5,000,000/=* cash kwa kiwanja cha sqm *500*
๐ถ *Miliki Ardhi Yako Leo!*