Plots for sale at Chanika, Dar Es Salaam


VIWANJA CHANIKA
Nauza viwanja vizuri sana,vipo Chanika mwisho Mtaa wa Kidugalo,
Viwanja vipo sehemu tambalale, katikati ya makazi ya watu, barabara ipo vizuri na unafika hadi site kwa gari. Huduma zote za kijamii zipo kama Umeme, Shule, maji n.k,
viwanja vipo 2kms toka Chanika stand mpaka viwanja vilipo,
Size: 20*20
BEI: 2,500,000
Unaweza kulipa Cash au kidogo kidogo hadi unamaliza.
HAKUNA DALALI MIMI NDIO MMILIKI WA VIWANJA
Kwa wanaohitaji tu tuwasiliane kwa namba 0715768663 au 0782677787
N.B EPUKA MATAPELI