Plots for sale at Chanika, Dar Es Salaam


VIWANJA CHANIKA
MVUTI -DSM
Nauza viwanja vizuri sana, vipo Chanika-Mvuti ,
Viwanja vipo sehemu tambalale, katikati ya makazi ya watu, barabara ipo vizuri na unafika hadi site kwa gari. Huduma zote za kijamii zipo kama Umeme, Shule, Hospitali n.k,
viwanja vipo 3kms toka Mvuti stand,
Size: 20*20
BEI: 1,800,000
Unaweza kulipa Cash au kidogo kidogo hadi unamaliza.
HAKUNA DALALI MIMI NDIO MMILIKI WA VIWANJA
Kwa wanaohitaji tu piga namba 0715768663 au 0782677787
N.B EPUKA MATAPELI