Plots for sale at Goba, Dar Es Salaam


🌟⭐Viwanja Goba na madale tumekuletea miradi mizuri na isiyo na longolongo ushindwe wewe tu mteja wetu😊🌟⭐
Miradi tulionayo ni 👇👇👇👇
🔵Goba kulangwa Umbali kutoka lami ni mita 500 bei ni 43000 kwa Sqr meter maongezi yapo viwanja vimekatwa kuanzia aqr meter 680
🔵Goba kulangwa kulangwa Umbali kutoka lami ni km 1 bei ni 35000 kwa Sqr meter 1 maongezi yapo viwanja vipo viwili vyote vina ukubwa wa Sqr meter 930
🔵Madale kwa kawawa Umbali kutoka lami ni mita 700 tu bei ni 38000 kwa sqr meter 1 viwanja vipo nane vimekatwa kuanzia sqr meter 500
🔵Madale mikoroshini eneo lina ukubwa wa Sqr meter 17000 bei ni 35000 kwa sqr meter 1 umbali kutoka lami mita 900
🔵Mbezi msumi eneo lina viwanja sita na vimekatwa kwa Sqr meter 400 bei ni 27000 kwa sqr meter 1 maongezi yapo barabara za kuingilia kwenye eneo zipo mbili unaweza kuingilia madale mwisho au njia panda ya makabe Umbali kutoka lami km 3
Karibu tukuhudumie 🙏 kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi 👇👇👇👇
Call and whatsapp 0626754367/0689396967