Plots for sale at Goba, Dar Es Salaam


Kiwanja kinauzwa
Mahali: Daressalaam. Goba kwa Awadhi. Mita 400 kutoka lami.
■ Ukubwa wa kiwanja: SQM 1520
■ Nyaraka: Sales agreement, hati ya mauziano Serikali ya mtaa
■ Maelezo
□ Kimezungukwa pande tatu na barabara za gari, ikiwemo barabara ya mtaa pande moja
□ Kiwanja kipo jirani na barabara ya lami, mita 400 tu.
□ kiwanja kipo tambalale
□ kizuri sana kwa uwekezaji mkubwa wa biashara au makazi
□ Mtaa mpya ndio kwanza unajengeka.
■ Bei: TZS 136.8 Million (Maongezi yapo)
■ Kuona kiwanja 50,000/=
■ PANGA MUDA WAKO, KUJA KUONA
■ Mawasiliano.
0712500602 wtsp
☎️ 0755336565
NB: Ubungo Riverside Kibangu Ubungo Makoka. VIPO Viwanja /Plot nzuri. Kwa Makazi na Biashara Apartment