Plots for sale at Goba, Dar Es Salaam


*Viwanja vya Bei Nafuu Vinauzwa – Goba Kulangwa, Karibu na Hospitali ya Masister*
Tunauza viwanja viwili tu vilivyobaki, kila kimoja kina ukubwa wa sqm 900.
Mahali:
Vipo Goba Kulangwa, karibu sana na Hospitali ya Masister
Umbali wa takriban 2km kutoka barabara kuu ya Madale, upande wa kushoto ukiwa unatokea Goba njia nne
Eneo zuri, tulivu na neighborhood yake ni nzuri
Bei:
45 milioni kwa kila kiwanja
Tunakuhudumia kwa haraka na kwa uaminifu
Karibu ujionee wenyewe uzuri wa eneo
Wasiliana nasi leo:
Simu/WhatsApp: 0742 892 195"