Plots for sale at Heka, Singida


SHAMBA HEKA 3.7 ZINAUZWA KISONGO
Shamba lipo 5 km Kusini Magharibi mwa shule ya kimataiafa ya braeburn na linafaa kwa mradi
mbalimbali ya kijamii na kibiashara.
Bei: Tshs 12,000,000 kwa Heka moja.
LAND 3.7 ACRES FOR SALE IN KISONGO
Located 5 km south west of Braeburn International School and useful for multiple Social and Commercially projects.
Price: Tshs 12,000,000 per Acre