Plots for sale at Jana, Shinyanga
Ahsanteni sana na hongereni wote mliofika site jana jumatano na kujipatia viwanja vyenu. Mungu awabariki sana.
Tutarudi tena site jumamosi na kila jumatano
—
Viwanja tunauza tsh 1,800,000/= ambayo unalipia kidogo kidogo kwa mwaka mzima yaani tsh 150,000/= kila mwezi kwa miezi 12
—
Vimepimwa unapata hati miliki bure kabisa. Hati tunafuatilia sisi vijana_realestate
—
Ukubwa: vinaanzia SQM 400 mpaka 800 na vyote ni bei moja.
—
Location: Vipo kibaha Soga. Kilometa 2 toka stesheni ya reli ya Soga.
Tupigie simu 0789-100 100 au 0675-200 300
vijana_realestate ofisi zetu zipo tegeta azania CHIEF HOUSE ghorofa ya kwanza.