Plots for sale at Kerege, Pwani


Mradi mpya KEREGE SHULE
Umbali 1Km from Bagamoyo road
Price: Tsh.9,000,000/=
Size : Viwanja vyote vina ukubwa wa 600sqm So vyote bei ni Moja.
Means of paymenT cash au 50% as Downpayment the utalipa kwa installment (mkopo) dani ya miezi 6.
Hili eneo lipo upande wa Bahari kwa maana ya upande wa kulia ukiwa unaelekea bagamoyo.
Kerege ni baada ya kuvuka mapinga ndo unaingia kerege.
Eneo lipo Tambalale na lina mawe kabisa.
Karibuni sana
Call 0710214021
WhatsApp 0758197500
π Slide forward kuona ramani π