Plots for sale at Kibada, Dar Es Salaam
A house for sale at kibada,kigamboni!!!
■nyumba hiii ni nzuri sana,located at kibada,block 16
■nyumba ina ukubwa wa sqm 640,hati ya wizara
■nyumba ina frame mbili kubwa za biashara
■nyumba ipo sehemu nzuri sana,kutoka lami ni 1km,kutoka ferry ni 8km kutoka darajani(mwalim nyerere bridge)6km
■nyumba hiii ina jumla ya vyumba vinne,vitatu master,jiko,dining na sitting room
■pia ina servant quarter ya gorofa,ambayo ni chumba na choo chake,pamoja na jiko pia
■ramani ya nyumba ni nzuri sana pia
■bei yake ni 200M (200,000,000)
■ur real estate agent Dalali_mwarabu_tz
■ 📞 +255745828614
■ warsap +255628000837
#Dalali_mwarabu_tz #viwanja #viwanjakigamboni #viwanjadar #kigamboni #realestate #realeststeinvestor #propertyforsale #property