Plots for sale at Kibaha, Pwani


πΌπ΅π¨π―π°π»π¨π±π° π²π°πΎπ¨π΅π±π¨ π²π°π©π¨π―π¨ π΄π°π³π¬1 (π·ππππππ)?
~Jipatie kiwanja Bora cha makazi kibaha mile1 pangani kikiwa na miundombinu ya umeme maji na barabara.
~Viwanja vipo karibu na kituo cha afya cha mtakuja(pangani), km4 tu kutoka barabara ya morogoro
~Bei ya Sqm1 ni 15000 malipo ya CASH na 18000 kwa sqm1 malipo ya AWAMU.
~Viwanja vipo kuanzia ukubwa wa 20kwa20 (sqm400) hadi sqm1500.
~Kutembelea mradi ni siku yoyote na ni Bila malipo (BURE)
~Wasiliana nasi kwa namba 0753311817 au WhatsApp namba 0621364769
#greenlandrealestate
#Thefutureishere!