Plots for sale at Kibaha, Pwani


Viwanja vinauzwa;
Eneo: KIBAHA- PANGANI *(LOLIONDO)* , Umbali wa Km 3 kutoka barabara ya Morogoro na mita 400 kutoka barabara ya Tamko-Baobab.
Bei nafuu kuanzia milioni 2.5
Eneo lipo juu, ni tambarare na lina upepo mzuri sana.
Umeme na maji vipo eneo la mradi pamoja na huduma nyingine za kijamii Kama Shule , Hospitali n.k. ZIPO
Ukubwa wa viwanja : kuanzia Mita za mraba 300 Mpaka 1600
Bei TZS 15,000/- kwa mita mraba
Hali ya Viwanja: Vimepimwa na kuidhinishwa na wizara ya ardhi
Viwanja vilivyobakia katika mradi wa viwanja 60 ni vichache mnoo Wahi sasa:
Malipo kutoka kwa mteja ni aidha pesa kamili 100% , aidha 75% au 50% ya bei ya mauzo baada ya hapo kiwango kinachobakia mteja atalipia kila mwezi gharama ya malipo yaliyosalia kwa kipindi cha miezi 3, 6 au 12 kulingana na uwezo wa mteja.
Call : +255658304907
Plots For Sale
Location: KIBAHA PANGANI, New Baobao Road
Area size: 300 Square meters upto 1,600 SQM
Price: TZS 15,000/- Per Square Meter
Plots condition: Plots have been surveyed
Call : +255658304907