Plots for sale at Kibaha, Pwani


Viwanja Vilivyopimwa Vinauzwa KIBAHA na Kiluvya Kwa bei nafuu na unaweza kulipa kidogo kidogo kuanzia miezi mitatu Hadi Mwaka Mmoja.
Unaweza kupata Kiwanja cha uhakika maeneo yafuatayo;
1. Madafu km4 Toka Morogoro Road Kwa shilingi 3,500,000/=
2. Misugusugu km2.5 Toka Morogoro Road Kwa shilingi 4,000,000/=
3. Kwa Mathias km5 Toka mataa ya Morogoro Road Kwa shilingi 5,600,000/=
4. Picha ya Ndege SOFU 6,000,000/= ni km4 Toka Morogoro Road
5. Boko Timiza 4,000,000/= na umbali ni km5 Toka Morogoro Road
6. Kiluvya Makurunge Kwa Masister na Kwa Professor 5,000,000/= km8 Toka morogoro Road
7. Kibamba Njia-panda,2.6 Toka Morogoro Road au kituo cha daladala Kibamba shule 20,000,000/=
N:B
Hizo bei ni Kwa viwanja vyenye ukubwa wa mita 20 upana Kwa mita 20 urefu yaani 400m²
Mawasiliano
0659 972 868
0763 172 814
0759 461 893