Plots for sale at Kibaha, Pwani


FUNGA KAZI HII,BEI KITONGA!
Sifa za maeneo haya! Kwanza kuna mahitaji yote ambayo binadam anaitaji aweze kuishi kuanzia Maji,umeme! Barabara nzuri sana
Pili kumejengeka sana,yani wachina wamepaendeleza sana,ukiwa unakuja site utatembea zaidi ya mita 400 za ukuta uliojengwa kwa kiwango cha hali juu,huku mkono wako wa kushoto utaona nyumba nzunzuri zenye uzio maridadi sana,bila shaka zitakupa hamu ya kutaka kujenga nyumba nzuri mara ukiweza kumiliki Kiwanja maeneo haya.
Shule ipo sio mbali,inaitwa Saeni! Yaani imebeba jina la mtaa wetu,viwanja ni Tambarare na ukifika utatamani kuchukua plots kuliko uwezo wako wa kulipia! Hii ina maana kwamba panavutia na panaita wakazi wapya waje kuishi...
Bei yake imekaa kizalendo sana,eti panauzwa shilingi 10,000/= tu kwa square meter! Najua wengi hamjui maana ya square meter! Haya njoo hapa! Ukisema square meter moja ni sawa na kusema mita moja upana x mita moja urefu hapo ni issue za hesabu za kutafuta Area..
Njoo kwenye mfano Hai hapa,kiwanja chenye miguu 20 kwa 20 au kitaaalam mita 20 x 20 yaani 400m² ni shilingi 4,000,000/=
Malipo ya awali: 1,000,000/=
Kiasi kilichobaki kinalipwa kidogo kidogo ndani ya miezi 10! Yaani 300,000/= kila mwezi.
Sisi tunasaidia tu watu wapate viwanja,wengine wanauza! Njoo tukuwezeshe ujipatie eneo kwa bei nafuu! Tuishi kwetu!
Simu: 0659 972 868 au 0763 172 814
Ofisini: Kibaha Misugusugu