Plots for sale at Kibamba, Dar Es Salaam


VIWANJA KWA AJILI YA MAKAZI VINAUZWA
MAHALI KIBAMBA SHULE
UMBALI WA KM 1 KUTOKA MOROGORO ROAD.
Vipo Viwanja vyenye Ukubwa na Bei tofauti kama ifuatavyo =
( 1 ) Mita 20x18
Bei Milioni 19
(2) Mita 20x20
Bei Milioni 23
(3) Mita 20x21
Bei Milioni 24
----------
Huduma za jamii zipo jirani ikiwapo umeme na maji Dawasa na Barabara inafikika vizuri wakati wote Mpaka Site.
☎️ #0757208653