Plots for sale at Kibamba, Dar Es Salaam


VIWANJA VIWANJA VIWANJA NI VIWANJA VIZURI SANA TAMBARALE SAFI VINAUZWA KIBAMBA SHULE KIBWEGERE
Ukubwa wa viwanja ni SQM 470,440,360
Bei:: nikuanzia mil. 16, 17 na 18
Viwanja vipo km 4 toka Morogoro Road, km 3 niza Lami na KM 1 ni rough road panafikika bila shida nyakati zote
huduma zote Muhimu zipo hapa
Kupelekwa kuona viwanja 30,000/=