Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


Tunauza Viwanja kigamboni#Cheka
Umbali kutoka ferry ni km25 na mita600 kutoka lami
Viwanja vipo sehem nzuri na ni tambalale na barabara nzuri inayopitika kwa usalama kwa vipindi vyote masika na kiangazi
**Viwanja vimepimwa na tayali vina OFFA, inamaana kwamba mteja utakapo nunua hatimiliki linatoka kwa jinalako kutoka wizarani
***Bei;, kwa #Sqm1=Elf12 (12,000/=, kwa sqm1) kwa maana ya kwamba, Ukinunua #Sqm400 (20/20) sawa na thamani ya shillingi million tano tu (Sqm400= million5).
*Mteja unaruhusiwa kuvidabo viwanja, viwili na kuendelea
** Maji na umeme tayali vipo
**Malipo ni CASH!!!. installment❌ ,, japo mteja kama akinunua eneo kubwa bac tunaweza kumfikiria kidogo
Kwa mawasilianonzaidi tupigie kupitia namba, 0656775637 0755489848