Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


Karibuni Viwanja VILIVYOPIMWA.
(SURVEYED PLOTS)
📍location :👉 #KIGAMBONI , #MWASONGA mbele ya DAR ES SAALAM ZOO ,
👉 BEI YAKE NI 6,000/=Tsh kwa square meter (sqm) moja
👉SQM 300 (20 kwa 15 ) = 1.8M
👉 ,SQM 400 (20 kwa 20) = (2.4M)
👉SQM 500 ( 25 kwa 20 ) = 3M
👉SQM 800 ( 40 kwa 20 ) = 4.8M
👉SQM 1000 ( 40 kwa 25) = 6M😋
Unaweza kuchukua hata SQM 500, 600, 800 ,1000 ,20000 n.k
____________________________________
■unaweza kulipia nusu kwanza (installment)
■Inayobaki unalipa kidogo kidogo kadri ya uwezo wako.
■Umbali ni Km 24 kutoka Ferry Kupitia Kibada na km 25 kutoka darajani (nyerere bridge)
■UMEME Upo Nguzo zimepita mbele ya Mradi
■Eneo lipo karibu na huduma za kijamiii mfano Shule , hospital, bar(bia tamu)🤗 n.k
__________________
⚠️KUTOKA FERRY HADI MWASONGA KWA DALA DALA NI SH. 1000 Tu na lami ikiisha dala dala itakuwa 600 😋😋
‼️Kwenda Kuona Viwanja ni KILA SIKU unapelekwa na kurudishwa
■Eneo hili ni Mali ya KAMPUNI hivyo hakuna Gharama ya Udalali