Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
๐จOFA YETU BADO INAENDELEA: Bei ni Milion 1.3 tu unamiliki kiwanja Wilaya ya KIGAMBONI KIMBIJI KWA MORISI. 0711677199/0744847199.
๐คKwanini ununue viwanja maporini Kwa bei kubwa wakati kwetu KIGAMBONI ndani ya Mkoa wa DAR ES SALAAM utapata Kwa bei ya Milion 1.3 tu. Mita 500 toka barabara kubwa ya KIMBIJI ambayo inawekwa lami hivi karibuni. Unaweza kushuka kwenye gari na kutembea hata kwa mguu. Km 1.5 kwenda baharini.
โก๏ธ Viwanja ni vizuri sana, viwanja Viko Tambarale, na tayari Kuna majirani wenye nyumba za kisasa.
โก๏ธ UMEME umepita mbele ya mradi, Ukijenga unavuta umeme, huhitaji hata nguzo ya ziada. Maji yapo, tank ya DAWASA hapo hapo. Eneo lipo karibu na huduma za kijamii mfano Shule , hospital, n.k
_________________________
๐ BEI YAKE SASA NI =Tsh 1, 300,000 TU. Kwa kiwanja chenye ukubwa wa Futi 50 X 40. Unaweza kuunganisha viwanja zaidi ya Viwili, vinne, sita, nane na kuendelea Kulingana na mahitaji Yako.
________________________
Tunaonyesha viwanja Kila siku, piga simu Kwa maelezo ZAIDI 0711677199/0744847199.
๐คKARIBUNI SANA KIGAMBONI, mji wenye upepo mwanana wa bahari.