Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
BANGO LINAONGEA!!
Mwenye macho haambiwi tazama. Hii ni DAR ES SALAAM Wilaya ya Kigamboni Kata ya KIMBIJI mtaa wa kwa MORISI.
Bei ni Milion 1.3 (Milion Moja na laki tatu) Unakosaje Sasa kwa bei hii maana huwezi pata popote. Viwanja vipo mita 500 toka barabara kuu itokayo Mji Mwema kwenda Buyuni. Na Km 1.5 kwenda Baharini๐. Km 35 tokea Kigamboni FERRY.
๐๐ปNguzo za Umeme zimezunguka mradi wote, Maji yapo (DASAWA) Majirani zako wapo tayari wanakusubiri wewe, Hospital, Shule zote zipo, kuna vitu vingiii sikumaliziii uje na wewe ujionee๐
โ๏ธKuna Viwanja vya Makazi na biashara na Ukubwa wa Kila kiwanja ni Futi 50 X 40 kwa Milion 1.3. Unaweza kuunga Viwanja viwili, vinne, sita na kuendelea. Viwanja ni tambarale, vizuri saaana.
Ukipanda gari Toka Ferry, ukishuka unaweza tembea au Pikipiki 1000. Jamani simu ziite
๐ 0711677199 au 0744847199.