Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


✅Viwanja Vinauzwa Kigamboni Kibada
✅Km 7 kutoka ferry
✅Km 5 kutoka darajani Mwl. Nyerere
✅Viwanja vimepimwa kuanzia sqm 829
✅Sqm 1 = 80,000 kwa Cash & Installment (fixed)
✅Unaweza kulipa Cash au Kidogo Kidogo kwa Kuanza na 50% nyingine unamalizia ndani ya miezi 2
Viwanja hivi viko sehemu nzuri ya kishua na iliyojengeka sana
Kutembelea Site ni kila Siku kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 11 jioni.
Kwa maelezo zaidi unaweza kufika ofisini kwetu au tupigie
📞📞 0788469717