Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


Gezaulole new project.
km 17 kutoka ferry kigamboni, km 1 kutoka sheli ya oilcom Gezaulole kabla hujafika watumishi housing.
Viwanja vimepimwa kuanzia sqm 600_2000
Bei ni tsh 30000@sqm malipo taslimu.
Hakuna mkopo.
Kiwanja cha bei ndogo ni tsh milioni 18.
Mawasiliano: #0756096614